Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 12
  • Desemba 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 12

Desemba 18-24

AYUBU 28-29

  • Wimbo 39 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 29:24—Tunaweza kujifunza nini kutokana na mfano wa Ayubu? (g00 7/8 11 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 28:​1-28 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! na mzungumzie kwa ufupi sehemu yenye kichwa “Jinsi ya Kunufaika Zaidi na Masomo Haya ya Biblia.” (th somo la 17)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 13 utangulizi wa Chimba Zaidi na jambo kuu la 4 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 121

  • “Mchango Wangu kwa Sifa Yetu Nzuri”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 3 ¶12-18

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 50 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki