Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 14
  • Desemba 25-31

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 25-31
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 14

Desemba 25-31

AYUBU 30-31

  • Wimbo 28 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Ayubu Alivyodumisha Usafi wa Kiadili”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 31:35—Tunaweza kuepukaje kuwa kama marafiki wa Ayubu mtu anapotueleza hisia zake? (w05 11/15 11 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 31:​15-40 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umpe kadi ya mawasiliano ya masomo ya Biblia. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike mtu huyo kwenye mikutano. Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 11)

  • Hotuba: (Dak. 5) g16.4 8-9—Kichwa: Ninaweza Kuelezaje Maoni ya Biblia Kuhusu Ngono Kati ya Watu wa Jinsia Moja? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 36

  • “Kwa Nini Ponografia Ni Mbaya?”: (Dak. 7) Mazungumzo na video.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 8)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 4 ¶1-8

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 74 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki