Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Septemba uku. 4
  • Septemba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Septemba uku. 4

SEPTEMBA 9-15

ZABURI 82-84

Wimbo 80 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mmoja wa wana wa Kora akitazama kiota cha mbayuwayu katika ua wa hekalu

1. Thamini Mapendeleo Uliyo Nayo

(Dak. 10)

Tunathamini mapendeleo yetu ya utumishi (Zb 84:​1-3; wp16.6 8 ¶2-3)

Furahia migawo uliyo nayo badala ya kukazia fikira migawo unayotamani ungepata (Zb 84:10; w08 7/15 30 ¶3-4)

Yehova ni mwema kuelekea wote wanaomtumikia kwa uaminifu (Zb 84:11; w20.01 17 ¶12)

Picha: Walawi wakishughulikia utendaji mbalimbali. 1. Kumwaga maji ndani ya beseni la shaba kutoka kwenye mtungi wa udongo. 2. Kuvuta gari lilijaa mitungi ya udongo. 3. Kubeba mtungi wa udongo.

Kila mgawo una baraka na changamoto zake. Ukikazia fikira baraka, unaweza kufurahia mgawo wowote.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 82:3—Ni muhimu kadiri gani kuwaonyesha ‘mayatima’ kutanikoni kwamba tunawajali na kuwapenda? (it-1 816)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 82:1–83:18 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Huruma—Yesu Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 9 jambo kuu la 1-2.

5. Huruma—Mwige Yesu

(Dak. 8) Mazungumzo yanayotegemea lmd somo la 9 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 57

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 15 ¶8-12, sanduku uk. 118

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 130 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki