Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Machi uku. 10
  • Aprili 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Machi uku. 10

APRILI 7-13

METHALI 8

Wimbo 89 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yesu akifundisha kikundi cha watu.

1. Sikiliza Hekima ya Yesu

(Dak. 10)

Yesu, anayeitwa “hekima” katika Methali, aliumbwa na Yehova “mwanzoni mwa njia yake” (Met 8:​1, 4, 22; cf 131 ¶7)

Kadiri Yesu alivyofanya kazi kando ya Yehova kwa miaka mingi wakati wa uumbaji, ndivyo kiwango chake cha hekima na upendo kumwelekea Baba yake kilivyoongezeka (Met 8:​30, 31; cf 131-132 ¶8-9)

Tunanufaishwa na hekima ya Yesu tunapomsikiliza (Met 8:​32, 35; w09 4/15 31 ¶14)

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 8:​1-3—Hekima inaendeleaje “kulia kwa sauti kubwa”? (g 5/14 16)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 8:​22-36 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Jibu maswali ya mtu anayefikiria kuhudhuria Ukumbusho ambaye angependa kujua ni mambo gani yatakayotendeka. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mkaribishe mtu aliyehudhuria Ukumbusho baada ya kuachiwa mwaliko mlangoni, na umsaidie baada ya programu kwisha. (lmd somo la 3 jambo kuu la 5)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Hotuba. ijwbq makala ya 160—Kichwa: Kwa Nini Yesu Anaitwa Mwana wa Mungu? (th somo la 1)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 105

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 25 ¶1-4, sanduku uk. 199

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 7 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki