Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG
VIJANA HUULIZA
Ninaweza Kuizoezaje Dhamiri Yangu?
Dhamiri yako inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani na ni mambo gani yaliyo muhimu kwako. Dhamiri yako inasema nini kukuhusu?
Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > VIJANA HUULIZA.
IGENI IMANI YAO
Mwanamke mwaminifu Maria Magdalene alikuwa kati ya wanafunzi wa kwanza kumwona Yesu aliyekuwa amefufuliwa. Alipewa pendeleo la kuwajulisha wengine habari hizo njema.
Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > IGENI IMANI YAO.