Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w21 Machi uku. 32
  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw Library na JW.ORG

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw Library na JW.ORG
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
w21 Machi uku. 32

Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw Library na JW.ORG

MASIMULIZI

Kasisi Apata Majibu

Kasisi mmoja na mke wake walilia kwa uchungu baada ya mwana wao kufa. Lakini walipata majibu yenye kuridhisha kwa maswali yao kuhusu kifo.

Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > MASIMULIZI YA MASHAHIDI WA YEHOVA.

MASWALI YA BIBLIA YAJIBIWA

Ni Nini Maana ya “Jicho kwa Jicho”?

Je, kuwepo kwa sheria ya “jicho kwa jicho” kunamaanisha kwamba watu wanaruhusiwa kuchukua sheria mikononi mwao?

Kwenye JW Library, tafuta kwenye MACHAPISHO > MFULULIZO WA MAKALA > MASWALI YA BIBLIA YAJIBIWA.

Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > MASWALI YA BIBLIA YAJIBIWA.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki