Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw Library na JW.ORG
MSAADA KWA AJILI YA FAMILIA
Jinsi ya Kutumia Teknolojia kwa Usawaziko
Matumizi ya teknolojia yanaweza kuboresha au kudhoofisha ndoa yako. Teknolojia inaathirije ndoa yako?
Kwenye JW Library, tafuta kwenye MACHAPISHO > MFULULIZO WA MAKALA > MSAADA KWA AJILI YA FAMILIA.
Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > MSAADA KWA AJILI YA FAMILIA.
HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE
Idadi ya Watu Wanaojua Kusoma na Kuandika Yaongezeka Duniani
Wenye mamlaka katika nchi mbalimbali wamewasifu Mashahidi wa Yehova kwa kazi waliyofanya ya kuongeza kiwango cha watu wanaojua kusoma na kuandika.
Kwenye JW Library, tafuta kwenye MACHAPISHO > MFULULIZO WA MAKALA > HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE.
Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE.