Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp22 Na. 1 kur. 1-2
  • Jinsi ya Kushinda Chuki

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi ya Kushinda Chuki
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
wp22 Na. 1 kur. 1-2
Gazeti Mnara wa Mlinzi, Na. 1 2022 | Jinsi ya Kushinda Chuki.

Jinsi ya Kushinda Chuki

Na. 1 2022

© 2022 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

Gazeti hili haliuzwi. Ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ya ulimwenguni pote inayotegemezwa kwa michango ya hiari. Ikiwa ungependa kutoa mchango, tafadhali tembelea donate.jw.org. Isipokuwa iwe imeonyeshwa vingine, Maandiko yamenukuliwa kutoka katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya.

GAZETI HILI, Mnara wa Mlinzi, linamheshimu Yehova Mungu, ambaye ndiye Mtawala Mkuu wa ulimwengu. Linawafariji watu kwa habari njema kwamba hivi karibuni Ufalme wa Mungu ulio mbinguni, utakomesha uovu wote na kuigeuza dunia kuwa paradiso. Linawatia moyo watu wamwamini Yesu Kristo, ambaye alikufa ili tupate uzima wa milele na ambaye sasa anatawala akiwa Mfalme wa Ufalme wa Mungu. Gazeti hili limekuwa likichapishwa tangu 1879 na si la kisiasa. Linashikamana na Biblia ambayo ndiyo msingi wake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki