Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw Library na JW.ORG
MASIMULIZI YA MASHAHIDI WA YEHOVA
Msaada kwa Wafanyakazi wa Hospitali Wanaokabiliana na Mkazo
Wafanyakazi wa hospitali moja wamepataje kitia-moyo katika kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID-19?
VIJANA HUULIZA
Umaarufu Mtandaoni Ni Muhimu Kadiri Gani?
Watu fulani huhatarisha maisha yao ili tu kupata wafuasi na alama nyingi zaidi za kupendwa. Je, umaarufu kwenye mtandao ni muhimu sana?
JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA
Ofisi za Utafsiri Zinazonufaisha Mamilioni ya Watu
Ona jinsi ambavyo eneo la ofisi ya utafsiri linaweza kuathiri ubora wa tafsiri.