Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w24 Septemba kur. 1-32
  • Toleo la Funzo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Toleo la Funzo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
w24 Septemba kur. 1-32
Yesu ameketi kwenye kiti cha ufalme juu ya dunia, akichunguza vikundi viwili vya watu. Mkusanyo wa picha: Ndugu na dada wakimwabudu Yehova. 1. Dada ameshika tablet huku akitazama mbinguni. 2. Wenzi wa ndoa wakisoma Biblia. 3. Ndugu na dada wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa kitheokrasi. 4. Ndugu akisali akiwa katika chumba cha gereza. 5. Dada mwenye umri mkubwa akitoa maelezo kwenye mkutano. 6. Dada aliyelazwa hospitalini akimpatia trakti mhudumu wa afya. 7. Baba akijifunza na familia yake. Mkusanyo wa picha: Wanaume na wanawake wakitenda kinyume na kanuni za Biblia. 1. Mwanamume akisali kwenye kasino. 2. Mwanamume akimpiga mwanamke. 3. Waandamanaji wenye hasira. 4. Mwanamume mwenye silaha akimfuata mwanamke kwenye maegesho ya magari. 5. Kasisi akisali kwa ajili ya wanajeshi. 6. Mwanamke akitumia dawa za kulevya.

Toleo la Funzo

SEPTEMBA 2024

MAKALA ZA FUNZO: NOVEMBA 11–DESEMBA 8, 2024

© 2024 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

Gazeti hili haliuzwi. Ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ya ulimwenguni pote inayotegemezwa kwa michango ya hiari. Ikiwa ungependa kutoa mchango, tafadhali tembelea donate.jw.org.

Isipokuwa iwe imeonyeshwa vingine, Maandiko yamenukuliwa kutoka katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki