Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w24 Desemba uku. 32
  • Watu Waaminifu Hutimiza Nadhiri Zao

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Watu Waaminifu Hutimiza Nadhiri Zao
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Habari Zinazolingana
  • “Kile Unachoweka Nadhiri, Timiza”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Uaminifu Hutuwezesha Kupata Kibali cha Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Alipendwa na Mungu na Rafiki Zake Pia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
w24 Desemba uku. 32

MRADI WA KUJIFUNZA

Watu Waaminifu Hutimiza Nadhiri Zao

Soma Waamuzi 11:​30-40 ili kujifunza kutokana na simulizi la Yeftha na binti yake linalohusu kutimiza nadhiri.

Chunguza muktadha. Waisraeli waaminifu walikuwa na maoni gani kuhusu nadhiri walizoweka kwa Yehova? (Hes. 30:2) Yeftha na binti yake walionyeshaje kwamba walikuwa na imani katika Yehova?—Amu. 11:​9-11, 19-24, 36.

Chimba zaidi. Inaelekea Yeftha alikuwa akifikiria nini alipoweka nadhiri yake? (w16.04 7 ¶12) Yeftha na binti yake walijidhabihu jinsi gani ili kutimiza nadhiri aliyoweka Yeftha? (w16.04 7-8 ¶14-16) Wakristo leo wanaweza kuweka nadhiri gani?—w17.04 5-8 ¶10-19.

Nimejifunza nini? Jiulize hivi:

  • ‘Ni nini kinachoweza kunisaidia kuendelea kuishi kulingana na nadhiri yangu ya wakfu?’ (w20.03 13 ¶20)

  • ‘Ninaweza kujidhabihu kwa njia gani ili kumtumikia Yehova kikamili zaidi?’

  • ‘Ninawezaje kuimarisha azimio langu la kutimiza nadhiri yangu ya ndoa?’ (Mt. 19:​5, 6; Efe. 5:​28-33)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki