Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt kur. 2100-2101
  • B9 Serikali Kuu za Ulimwengu Zilizotabiriwa na Danieli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • B9 Serikali Kuu za Ulimwengu Zilizotabiriwa na Danieli
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Babiloni
  • Umedi na Uajemi
  • Ugiriki
  • Roma
  • Uingereza na Marekani
  • Kuinuka na Kuanguka Kwa Sanamu Kubwa Sana
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
  • Ni Nani Atakayeutawala Ulimwengu?
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Danieli
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Unabii Mwingi Uliotimizwa
    Biblia—Neno la Mungu au la Binadamu?
Pata Habari Zaidi
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
B9 Serikali Kuu za Ulimwengu Zilizotabiriwa na Danieli

B9

Serikali Kuu za Ulimwengu Zilizotabiriwa na Danieli

Makala Iliyochapishwa
Sanamu ya Danieli sura ya 2
Simba mwenye mabawa anayewakilisha Milki ya Babiloni

Babiloni

Danieli 2:32, 36-38; 7:4

607 K.W.K. Mfalme Nebukadneza aharibu Yerusalemu

Dubu anayewakilisha Milki ya Umedi na Uajemi

Umedi na Uajemi

Danieli 2:32, 39; 7:5

539 K.W.K. Yashinda Babiloni

537 K.W.K. Koreshi aagiza Wayahudi warudi Yerusalemu

Chui mwenye mabawa anayewakilisha Milki ya Ugiriki

Ugiriki

Danieli 2:32, 39; 7:6

331 K.W.K. Aleksanda Mkuu ashinda Uajemi

Mnyama mwenye pembe kumi anayewakilisha Serikali Kuu ya Ulimwengu ya Roma na ya Uingereza na Marekani

Roma

Danieli 2:33, 40; 7:7

63 K.W.K. Yatawala Israeli

70 W.K. Yaharibu Yerusalemu

Uingereza na Marekani

Danieli 2:33, 41-43

1914-1918 W.K. Vita vya Kwanza vya Ulimwengu, Muungano wa Uingereza na Marekani watokea

  • Maeneo Kwenye Ramani

  • Sardi

  • Yerusalemu

  • Ekibatana

  • Babiloni

  • Milki ya Babiloni

  • Tema

  • Susa, Shushani

  • Persepoli

  • Milki ya Umedi na Uajemi

  • Milki ya Roma

  • Roma

  • Pela

  • Constantinople (Byzantium)

  • Aleksandria

  • Yerusalemu

  • Antiokia

  • Seleukia

  • Milki ya Ugiriki

  • Kinachoonyeshwa Kwenye Ramani

  • Milki ya Babiloni

  • Milki ya Umedi na Uajemi

  • Milki ya Ugiriki

  • Milki ya Roma

  • Eneo lililomilikiwa na milki mbili

  • Kinachoonyeshwa Kwenye Mpangilio wa Nyakati

  • 607 K.W.K. Babiloni yaharibu Yerusalemu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki