Yaliyomo
Oktoba 22, 2000
Afya Bora—Kuna Machaguo Gani?
Umuhimu wa matibabu yasiyo ya asili na yale ya asili unatambuliwa leo. Ni zipi baadhi ya njia zinazotumiwa katika yale yanayoitwa matibabu ya asili? Na kwa nini watu wengi wanayatumia?
3 Afya Bora—Je, Kuna Mwelekeo Mpya?
4 Matibabu ya Asili Kinachowafanya Wengi Wayatumie
6 Kuchunguza Matibabu ya Asili
16 Mlima Ulipotaka Kuungana na Bahari
31 Jaribio la Kutimua Vatikani Kutoka UM
32 Kwa Nini Maadili Yamezorota?
Je, Nimwambie Mtu Fulani Kwamba Nimeshuka Moyo? 13
Vijana wengi hawajui wamweleze nani mambo yao ya siri.
Kukabili Majaribu kwa Nguvu za Mungu 20
Wakristo huko Ukrainia walikabili majaribu ilipokuwa sehemu ya Muungano wa Sovieti. Soma baadhi ya majaribu hayo na namna ambavyo Wakristo walistahimili.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Anatomy Improved and Illustrated, London, 1723, Bernardino Genga