Ukurasa wa Pili
Faraja kwa Wagonjwa 3-14
Kuwa na ugonjwa wa kudumu na wenye kulemaza kwaweza kufadhaisha sana. Mtu aweza kukabilianaje na ugonjwa huo?
Vipi Ikiwa Wazazi Wangu Wanafikiri Mimi Ni Mchanga Mno Kuweka Miadi ya Kijinsia? 19
Je, kuna hatari za kuweka miadi ya kijinsia ukiwa mchanga mno?
Moto! Je, Utatumia Kizima-Moto Kipi? 24
Jifunze kuhusu mioto na jinsi ya kuizima.