Ukurasa wa Pili
Mbinu Mpya za Ugaidi 3-12
Magaidi wanatumia tekinolojia mpya na wanashambulia vikundi vipya. Hilo lakuathirije? Je, tatizo la ugaidi wa kimataifa litasuluhishwa?
Ninawezaje Kusitawisha Uhusiano wa Karibu Pamoja na Babu na Nyanya? 13
Jifunze hatua muafaka unazoweza kuchukua ili kusitawisha na kudumisha uhusiano wa karibu pamoja na babu na nyanya yako.
Simu Zinaunganishwaje? 19
Unaweza kumpigia simu kwa urahisi rafiki yako anayeishi mbali sana. Hilo huwezekanaje?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: Juu kulia: AP Photo/Katsumi Kasahara; Mlipuko wa bomu katika Oklahoma City: AP Photo/David Longstreath
Ukurasa wa 2 na 5: A. Lokuhapuarachchi/Sipa Press