Ukurasa wa Pili
Kukomesha Chuki 3-11
Chuki yaendelea kusababisha mizozo na mapambano yenye jeuri. Chanzo cha chuki ni nini? Je, twaweza kuishinda?
Kongoti—Ndege Anayeeleweka Vibaya 16
Kongoti amefafanuliwa kuwa mkatili na mwenye sura mbaya. Hata hivyo, ndege huyo ana sifa nzuri kadhaa.
Ni Nani Aliye Mpinga-Kristo? 20
Kwa karne nyingi, kumekuwa na ubishi kuhusu utambulisho wa mpinga-Kristo. Uthibitisho waonyesha nini?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
AP Photo/John Gillis