Ukurasa wa Pili
Msaada kwa Matineja Walioshuka Moyo 3-14
Yaonekana kwamba vijana wanaobalehe wanashuka moyo zaidi ya wakati mwingine wowote. Kwa nini wao huathiriwa kwa urahisi? Wanaweza kusaidiwaje?
Wamaya—Walivyokuwa na Walivyo Leo 15
Soma jinsi mojawapo ya staarabu maarufu zaidi za mapema huko Amerika ilivyokuwa na ilivyo leo.
Je, Mungu Alikubali Biashara ya Watumwa? 20
Mamilioni ya watu wameteseka sana kwa sababu ya biashara ya watumwa. Je, Mungu hukubali wanadamu wadhulumiwe hivyo?