Ukurasa wa Pili
Je, Tunaweza Kukuza Chakula cha Kutosha? 3-11
Wanadamu watakufa njaa wasipopanda mazao. Sayansi imejitahidi sana kuboresha mazao hayo muhimu. Lakini je, imetokeza madhara badala ya manufaa?
Ninawezaje Kuacha Kuwa na Wasiwasi Mwingi Mno? 12
Wasiwasi unaweza kumfanya mtu akose shangwe maishani. Unaweza kupambanaje na hali hiyo yenye kufadhaisha?
Je, Leif Eriksson Alivumbua Amerika? 18
Soma kuhusu Wazungu jasiri waliofika bara la Amerika Kaskazini miaka 500 kabla Columbus hajaanza safari yake.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: Mwanamke aliye shambani: Godo-Foto; mandhari iliyo kwenye ukurasa wa 2: U.S. Department of Agriculture