Ukurasa wa Pili
Msaada kwa Wanawake Wanaopigwa 3-12
Ulimwenguni pote, wanawake hupigwa na waume au marafiki zao wa kiume. Baadhi yao wanauawa. Wanaweza kujilindaje?
Gurudumu Kubwa la Vienna Linalopendwa Sana 19
Majiji mengi yana gurudumu kubwa la Ferris. Gurudumu la Vienna ni la kipekee. Kwa nini watu wa Austria wanalipenda?
Matatu—Gari Maridadi la Usafiri Nchini Kenya 22
Kila utamaduni una njia yake ya usafiri wa umma. Kwa nini matatu ni tofauti?