Yaliyomo
Julai 8, 2003
Je, Mauaji ya Kijeuri Yatakwisha?
Mtoto huyu aliyeokoka mauaji ya watoto wanane wa shule huko Ikeda, Japan, alia baada ya mazishi yao. Mauaji ya kijeuri yanatukia ulimwenguni pote. Ni nini kinachowachochea watu kufanya matendo hayo maovu? Je, yatakwisha?
3 Kwa Nini Mauaji Yanazidi Kuwa ya Kijeuri?
5 Kwa Nini Mauaji ya Kijeuri Yameongezeka Sana?
10 Je, Kuna Utatuzi wa Kudumu?
12 Mawaidha Kutoka kwa Rubani Stadi
18 Nilijaribu Kuwatumikia Mabwana Wawili
32 “Kwa Hakika Ninakipendekeza Kitabu Hicho”
Barcelona—Jiji Lenye Sanaa na Mitindo ya Kuvutia 14
Barcelona ni jiji la Mediterania lenye utamaduni na sanaa mbalimbali inayoonekana katika majengo yake.
Tour de France—Miaka 100 ya Mashindano Makali ya Baiskeli 22
Ni nini kinachofanya mashindano hayo ya baiskeli huko Ufaransa yawe ya pekee? Ni nini kinachowavutia mamilioni ya mashabiki kwenda kuyatazama kila mwaka?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
AFP PHOTO/Toshifumi Kitamura
100 ans de Tour de France, L’Équipe, 2002 © L’Équipe/Presse Sports