Yaliyomo
Agosti 22, 2003
Utafanyaje Ukidhulumiwa?
Kwa nini watu fulani huwadhulumu wengine? Watu huathiriwaje wanapodhulumiwa? Suluhisho ni nini? Toleo hili la Amkeni! linajibu maswali hayo.
3 Dhuluma Tatizo la Ulimwenguni Pote
5 Dhuluma Baadhi ya Visababishi na Matokeo
12 Kuabiri kwa Kutegemea Maji, Anga, na Upepo
16 Maelezo Mafupi Kuhusu Kikundi cha Kidini
20 Msiba Baharini na Uharibifu wa Pwani
22 Maamuzi Yanayoathiri Afya Yako
31 Madini Yanayometameta Kama Mbalamwezi
Nawezaje Kuacha Kutarajia Ukamilifu? 17
Kutarajia ukamilifu ni hatari. Jifunze jinsi unavyoweza kubadili maoni yako kwa msaada wa Mungu.
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea Ulaya ” 23
Mnamo mwezi wa Mei, watu walisherehekea miaka 300 tangu jiji hilo lianzishwe. Soma historia yenye kuvutia ya jiji hili la pekee la Urusi.