Yaliyomo
Oktoba 8, 2003
Kwa Nini Wakulima Wanakabili Matatizo?
Katika sehemu nyingi za ulimwengu, wakulima wanakabili hali ngumu sana za kiuchumi. Ni nini kinachosababisha matatizo yao, na yanaweza kusuluhishwaje?
5 Matatizo ya Wakulima Yanasababishwa na Nini?
9 Matatizo ya Wakulima Yatakoma
12 Je, Wajua?
20 Vinu vya Upepo Vyatukumbusha Zama za Kale
31 “Wanawake Wanastahili Staha”
32 Siri ya Kuwa na Ndoa Yenye Mafanikio
Picha Zilizotengenezwa kwa Mawe 16
Soma historia ya kuvutia ya sanaa hiyo maridadi.
Ziwa la Lami la Trinidad na Tobago 24
Jifunze kuhusu ziwa hilo linalosemwa kuwa “kitu cha kustaajabisha sana.”
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Mark Segal/Index Stock Photography