Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 7/08 kur. 22-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2008
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Ndoto Hii Ilimaanisha Nini?
  • Katika Toleo Hili
  • Watoto Watafute Picha
  • Ni Nani Aliye Katika Nasaba ya Yesu?
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2008
g 7/08 kur. 22-31

Ungejibuje?

Ndoto Hii Ilimaanisha Nini?

Soma simulizi la Biblia lililorekodiwa katika Danieli 2:25-45, na ujibu maswali yafuatayo.

1. Sanamu imetengenezwa kwa vyuma gani vinne?

․․․․․

․․․․․

․․․․․

․․․․․

2. Vyuma hivyo vinawakilisha nini?

․․․․․

3. Sanamu hiyo inapatwa na nini?

․․․․․

4. Ni nini kinachochukua mahali pa sanamu hiyo, na kinadumu kwa muda gani?

․․․․․

․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Simulizi hilo linaonyeshaje kwamba Danieli alikuwa mtu mwenye kiasi? Ukifanya kazi fulani vizuri au ukiwa na kipawa fulani, kwa nini unapaswa kuwa na kiasi?

Katika Toleo Hili

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 7 Wenzi wa ndoa wanapaswa kufanya nini haraka? Yakobo 1:________

UKURASA WA 9 Wenzi wa ndoa wanapaswa kuendelea kuangalia nini? Wafilipi 2:________

UKURASA WA 11 Mungu anawaamuru watumishi wake waepuke nini? Kumbukumbu la Torati 18:________

UKURASA WA 21 Kijana akiwa si msikiaji tu bali mtendaji, atakuwaje? Yakobo 1:________

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Ni Nani Aliye Katika Nasaba ya Yesu?

Fikiria madokezo. Soma maandiko. Kisha uandike majina sahihi katika nafasi zilizoonyeshwa.

5. ․․․․․

DOKEZO: Mjukuu wangu alikuwa mfalme wa pili wa Israeli.

Soma 1 Samweli 16:13, 14; 1 Mambo ya Nyakati 2:12-15.

6. ․․․․․

DOKEZO: Isaya alitabiri kwamba mmoja wa wajukuu wangu ‘angesimama kuwa ishara kwa ajili ya vikundi vya watu.’

Soma Isaya 11:10.

7. ․․․․․

DOKEZO: Nilijulikana kuwa mtengenezaji wa vyombo vya muziki.

Soma 2 Mambo ya Nyakati 7:6.

◼ Majibu kwenye ukurasa wa 22

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Dhahabu, fedha, shaba, chuma.

2. Falme nne.

3. Inavunjwa.

4. Ufalme wa Mungu; utadumu mpaka wakati usio na kipimo.

5. Obedi.—Luka 3:31, 32.

6. Yese.—Luka 3:32.

7. Daudi.—Luka 3:31.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki