Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 9/09 kur. 29-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2009
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Ni Nini Kimekosekana Katika Picha Hii?
  • Katika Toleo Hili
  • Watoto Watafute Picha
  • Unajua Nini Kuhusu Mwamuzi Baraka?
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 9/09 kur. 29-31

Ungejibuje?

Ni Nini Kimekosekana Katika Picha Hii?

Soma Matendo 5:1-5. Kisha utazame picha. Ni nini kinachokosekana? Andika majibu yako kwenye mistari iliyo hapa chini na ukamilishe picha hii kwa kuchora vitu vinavyokosekana na kupaka rangi.

1. ․․․․․

2. ․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Unafikiri ni kwa nini Anania alisema uwongo? Tunajifunza nini kutokana na simulizi hilo?

Katika Toleo Hili

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 11 Ni nini kinachoipata nafsi inayotenda dhambi? Ezekieli 18:________

UKURASA WA 11 Wafu hawajui nini? Mhubiri 9:________

UKURASA WA 17 Sisi hufanya nini mara nyingi? Yakobo 3:________

UKURASA WA 17 Unapaswa kuacha nini kichukuliwe kutoka kwako? Waefeso 4:________

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Unajua Nini Kuhusu Mwamuzi Baraka?

Soma Waamuzi 4:1-24. Sasa jibu maswali yafuatayo.

3 ․․․․․

Ni nabii gani wa kike aliyemsaidia?

4 ․․․․․

Alikomboa Israeli kutoka kwa mfalme yupi wa Kanaani?

5 ․․․․․

Kweli au si kweli? Mwamuzi Baraka aliishi baada ya Yoshua.

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Wanawake walitimiza sehemu gani katika ushindi wa Israeli dhidi ya Wakanaani? Wanawake wanatimiza sehemu gani muhimu leo katika kumtumikia Mungu?

◼ Majibu kwenye ukurasa wa 29

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Anania hana pesa mkononi mwake.

2. Mtume Petro hayuko kwenye picha.

3. Debora.—Waamuzi 4:4-9.

4. Yabini.— Waamuzi 4:2.

5. Kweli.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki