Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 12/09 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2009
  • Habari Zinazolingana
  • Utangulizi
    Amkeni!—2021
  • Manyoya ya Bundi
    Amkeni!—2009
  • Unaweza Kutosheleza Uhitaji Wako wa Kiroho
    Amkeni!—2009
  • Je, Ulibuniwa kwa Kusudi au Ulijitokeza Wenyewe?
    Amkeni!—2009
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 12/09 kur. 1-2

Yaliyomo

Desemba 2009

Je, Ulimwengu Ulitokezwa au Ulijitokeza?

Wanasayansi wana maoni yenye kupingana kuhusu ikiwa ulimwengu ulitokezwa au ulijitokeza. Hata hivyo, kuna mambo yanayotusaidia kuelewa kusudi la maisha ya wanadamu na ulimwengu unaotuzunguka.

3 Tunastaajabishwa na Ulimwengu!

4 Je, Ulibuniwa kwa Kusudi au Ulijitokeza Wenyewe?

9 Kwa Nini Tupo Hapa?

11 Ni Nyota ya Aina Gani Iliyowaongoza Wale “Mamajusi” kwa Yesu?

14 Kuutazama Ulimwengu

15 Wanyama Wakubwa wa Baharini

18 Vijana Huuliza

Nizungumze Jinsi Gani na Wazazi Wangu?

22 Umuhimu wa Kuonyesha Upendo

23 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Manyoya ya Bundi

28 Jihadhari na Sumu ya Madini ya Risasi!

30 Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2009

31 Ungejibuje?

32 Alitetea Imani Yake

Unaweza Kutosheleza Uhitaji Wako wa Kiroho 12

Kuna mazoea mengi sana ya kitamaduni na ya kidini yanayosemekana kuwa yanaweza kutosheleza uhitaji wetu wa kiroho. Je, ni jambo la maana kufikiri jinsi unavyochagua kutosheleza uhitaji wa kiroho? Ona jibu la wazi linalotolewa na Biblia.

Jinsi Nilivyoacha Kupenda Vita 24

Soma hadithi yenye kusisimua sana ya mtu aliyependa vita lakini baadaye akapata kusudi bora zaidi maishani.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki