Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 7/12 uku. 3
  • Wewe Ungebadili Nini?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wewe Ungebadili Nini?
  • Amkeni!—2012
  • Habari Zinazolingana
  • Tunahitaji Ulimwengu Bora!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2021
  • Je, Kilio cha Haki Kitasikika?
    Habari Zaidi
  • Ubaguzi Utakwisha Lini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Ni Nini Lazima Kibadilike?
    Amkeni!—2012
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2012
g 7/12 uku. 3

Wewe Ungebadili Nini?

Ni jambo gani kuhusu ulimwengu wetu linalokuhangaisha wewe zaidi?

NJAA

UMASKINI

MAGONJWA

UHALIFU

UKOSEFU WA HAKI

VITA

UCHAFUZI

UBAGUZI

Kati ya mambo yafuatayo, ni jambo gani ambalo wewe ungependa sana kuona?

AMANI KATI YA MATAIFA

HUDUMA BORA ZA KITIBA ZINAZOWEZA KUPATIKANA KWA WOTE

KUKOMESHWA KWA UBAGUZI

CHAKULA NA MAJI YA KUNYWA YA KUTOSHA

MITAA SALAMA

MAZINGIRA SAFI

KILA MTU AKITENDEWA KWA HAKI

Je, mabadiliko unayotaka kuyaona yatawahi kutokea? Watu fulani wanasema kwamba tunahitaji kuwa na serikali bora ili tupate mabadiliko hayo. Je, viongozi wa ulimwengu wanaweza kuubadili ulimwengu wetu? Mambo hakika yanaonyesha nini?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki