Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 8/12 kur. 12-31
  • Mazungumzo Ya Familia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mazungumzo Ya Familia
  • Amkeni!—2012
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • TUNAWEZA KUJIFUNZA NINI KUTOKANA NA . . . Kaini na Abeli?
  • Kusanya na Ujifunze
  • Watu na Nchi
  • Watoto Watafute Picha
  • MAJIBU YA UKURASA WA 30 NA 31
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2011
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2012
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2012
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2011
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2012
g 8/12 kur. 12-31

Mazungumzo Ya Familia

TUNAWEZA KUJIFUNZA NINI KUTOKANA NA . . . Kaini na Abeli?

JE, UMEWAHI KUKASIRIKA NA KUTAKA KUMPIGA NDUGU AU DADA YAKO?

• Paka rangi picha hizi. • Soma mistari ya Biblia iliyoonyeshwa, na uieleze unapojaza maneno ambayo yamekosekana. • Tafuta vitu vilivyofichika: (1) tofaa na (2) bata.

MWANZO 4:2

MWANZO 4:3

MUNGU ALIMTAZAMA ABELI NA TOLEO LAKE KWA KIBALI.​—⁠MWANZO 4:4

MWANZO 4:5

MWANZO 4:8 ․․․․․

BAADAYE, MUNGU AKAMUULIZA KAINI: “․․․․․ ?”​—⁠MWANZO 4:9

MWANZO 4:​10-12

Kwa nini unapaswa kudhibiti hasira yako?

DOKEZO: Methali 14:29; Waefeso 4:​26, 27, 31.

Ni nini kinachoweza kukusaidia udhibiti hasira?

DOKEZO: Methali 14:30; 19:11; Waefeso 4:32.

Umejifunza nini kutokana na simulizi hili?

Una maoni gani?

Soma Mwanzo 4:7. Kaini alipaswa kuitikia namna gani Mungu alipomsahihisha?

DOKEZO: Luka 14:11; 1 Petro 5:​5, 6.

Kusanya na Ujifunze

Kata, kunja katikati, na uhifadhi

KADI YA BIBLIA 20 NOA

MASWALI

A. Noa aliishi miaka ․․․․․.

B. Wana wake watatu waliitwaje?

C. Kamilisha mstari huu wa Biblia: “Noa akafanya kulingana na . . . ”

[Chati]

4026 K.W.K. 1 W.K. 98 W.K.

Adamu aumbwa Alizaliwa katika Kitabu cha mwisho

mwaka wa 2970 K.W.K. cha Biblia kinaandikwa

[Ramani]

“Safina ikatua kwenye milima ya Ararati.” ​—⁠Mwanzo 8:4

MILIMA YA ARARATI

NOA

MAELEZO MACHACHE KUMHUSU

Alifundisha familia yake kutii maagizo ya Yehova. Kwa kumtii Mungu, alijenga safina ili ahifadhi familia yake na wanyama waokoke gharika kuu. (Mwanzo 6:​5-22) Licha ya dhihaka, alivumilia kwa uaminifu akiwa “mhubiri wa uadilifu.”​—⁠2 Petro 2:5; Waebrania 11:7.

MAJIBU

A. 950.​—⁠Mwanzo 9:29.

B. Shemu, Hamu na Yafethi.​—⁠Mwanzo 6:10.

C. “. . . yote ambayo Mungu alikuwa amemwamuru. Alifanya vivyo hivyo.”​—⁠Mwanzo 6:22.

Watu na Nchi

3. Majina yetu ni Andres na Ana. Sote tuna umri wa miaka 11, na tunaishi El Salvador. Kuna Mashahidi wa Yehova wangapi nchini El Salvador? Ni 10,000, 20,700, au 37,000?

4. Ni alama gani inayoonyesha eneo tunaloishi? Chora duara kuonyesha eneo unaloishi, kisha uone kwenu ni umbali gani kutoka El Salvador.

A

B

C

D

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Ili uchapishe nakala zaidi za “Mazungumzo ya Familia,” nenda kwenye www.jw.org

● Majibu ya “MAZUNGUMZO YA FAMILIA” kwenye ukurasa wa 12

MAJIBU YA UKURASA WA 30 NA 31

1. Kuna tofaa mbele ya madhabahu katika picha ya 3. 

2. Bata yuko katikati ya Abeli na kondoo katika picha ya 4. 

3. 37,000.

4. A.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki