Yaliyomo
Aprili 2013
© 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. Haki zote zimehifadhiwa.
HABARI KUU: Mwisho wa Jeuri Inayotokea Nyumbani 8-11
16 Njia ya Haraka ya Kupata Habari Kwenye Tovuti Yetu!
HABARI ZAIDI KWENYE
MATINEJA
VIJANA HUULIZA . . .
Nifanye Nini Ikiwa Ninachokozwa?
“Sitasahau kamwe majina waliyoniita au mambo waliyosema,” anasema Celine, mwenye umri wa miaka 20. “Walinifanya nijihisi duni, sitakikani, na sifai kitu. Afadhali wangenipiga.” Makala hiyo inayopatikana kwenye mtandao inajibu maswali kama: Kwa nini watoto huwachokoza wenzao? Ni nani anayeweza kuchokozwa kwa urahisi? Ufanye nini ukichokozwa?
(Tafuta chini ya MAFUNDISHO YA BIBLIA/MATINEJA)
WATOTO
Soma hadithi za Biblia zilizosimuliwa kwa michoro. Tumia mazoezi haya kuwasaidia watoto wako waboreshe ujuzi wao kuhusu watu wanaosimuliwa katika Biblia na kanuni za maadili.
(Tafuta chini ya MAFUNDISHO YA BIBLIA/WATOTO)