Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 8/13 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2013
  • Habari Zinazolingana
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2013
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2013
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2013
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2013
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2013
g 8/13 kur. 1-2

Yaliyomo

Agosti 2013

© 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. Haki zote zimehifadhiwa.

HABARI KUU

Unaweza Kuishi Muda Mrefu Kadiri Gani?

UKURASA WA 6-9

3 Kuutazama Ulimwengu

4 Msaada kwa Ajili ya Familia

Kijana Wako Anapojiumiza Kimakusudi

10 Mahojiano

Mtaalamu wa Magonjwa ya Mifupa Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu

12 Mafundisho

Je, Uamini Utatu?

14 Maoni ya Biblia

Kileo

16 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Alibatrosi Anayeruka Bila Kupoteza Nishati Nyingi

HABARI ZAIDI

www.jw.org/sw

MATINEJA

VIJANA HUULIZA . . .

Kwa Nini Mimi Hujikata Kimakusudi?

Msichana mmoja anayeitwa Jerrine anasema hivi: “Kila mara nilipojikata kimakusudi, ni kana kwamba nilisahau matatizo yangu, na nikawaza kwamba sikuhitaji kuyashughulikia.” Vijana wengi wana tatizo la kujiumiza kimakusudi. Kwa nini wao hujiumiza? Je, ni mtindo wa muda tu? Ikiwa una tabia hiyo, unaweza kupata wapi msaada?

(Tafuta chini ya MAFUNDISHO YA BIBLIA > MATINEJA)

WATOTO

Someni pamoja hadithi za Biblia zilizochorwa. Tumia kurasa zenye mazoezi kuwasaidia watoto wako waboreshe ujuzi wao kuhusu watu wanaosimuliwa katika Biblia na kanuni za maadili.

(Tafuta chini ya MAFUNDISHO YA BIBLIA > WATOTO)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki