Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 21
  • Shangilieni Ufalme wa Yehova!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Shangilieni Ufalme wa Yehova!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Mpe Heko Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mshangilieni Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova
  • Kupata Ushindi Juu ya Ulimwengu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo wa Ushindi
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 21

Wimbo 21

Shangilieni Ufalme wa Yehova!

(Ufunuo 11:17)

1. Wakristo, shangilieni

Ufalme wa Yehova.

Mikaeli akashinda,

Ibilisi mbinguni.

Joka nao mashetani;

Karibu watafungwa.

Na Yesu atafanyiza

Mungu ahimidiwe.

2. “Mabaki” ya “kundi dogo”

Watangulie mbele

Ufalme kushangilia,

Wa Yesu, pia wao.

Chini watakaobaki,

Katika Paradiso

Washiriki na “mabaki,”

Kutangaza Ufalme.

3. ’Falme wa Yah shangilia.

Hubiri, funza vema;

Wapole wasaidiwe

Wawe “wa nia njema.”

’Falme wa Yah shangilia,

Wa kustaajabia.

Milele utabariki,

Utetee Yehova!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki