Wimbo 104
Wimbo kwa Aliye Juu Zaidi Sana
1. Na tumwimbie Yehova;
Tusifu na kushukuru.
Tunapaaza sauti,
Yeye ni mwenye nguvu sana.
(Korasi)
2. Shangilieni kwa mbiu:
Ufalme umezaliwa.
Mwenendo kwa Mwokozi, na
Upambe mafundisho yake.
(Korasi)
3. Twaishi “siku za mwisho”;
Tuitetee ibada.
Mungu ni mushindi; basi
Sifa zetu zinamwendea.
(KORASI)
Yehova atawala;
Anapata ushindi.
Kupitia Mwanaye,
Ufalme umeanza.