Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 118
  • Kutegemeza Nyumba ya Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutegemeza Nyumba ya Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Wafundishe Kusimama Imara
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wafundishe Kusimama Imara
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 118

Wimbo 118

Kutegemeza Nyumba ya Mungu

(Malaki 3:10)

1. Tufikirie nyumba ya Mungu

Tusipuze, mahali pakeye,

Nyumba aliyoichagua

Jina lake lije likae humo.

Kama Nehemia karudisha

’Bada katika ‘nyumba ya Mungu,’

Tuheshimu yeye kwa “zaka” zetu,

Tuonyeshe pendo kwa moyo wote.

(Korasi)

2. Jama’ ya Mungu ina umoja,

Ni jamaa aangaliayo.

‘Wakiliye,’ mwaminifu kwake,

Hivyo amani hukaa humo.

“Vitu vyenye thamani” tulete;

“Malimbuko” yanamuheshimu.

Hubariki jamaa yake vema,

Tutumikie kwa shangwe daima.

(KORASI)

Nyumba Mungu tegemeza.

‘Njoni mwabudu,’ twasihi.

Nyumbake ni jamaake;

Atakaa nao daima.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki