Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 163
  • Tunda la Roho

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tunda la Roho
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Mstahimilivu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
  • Je, ‘Utaendelea Kutembea Kwa Roho’?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Je, Unaruhusu Roho ya Mungu Ikuongoze?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 163

Wimbo 163

Tunda la Roho

(Wagalatia 5:22, 23)

1. Tunda la roho yake Mungu

Ni lazima tulizae,

Hivyo tumuletee sifa,

Tukaupate uzima.

Nyakati zote tuonyeshe

Upendo kama wa Mungu.

Na kufurahi sikuzote,

Furaha huvumilisha.

2. Tuwe na amani ya Mungu

Tusitawi na umoja.

Muhimu ustahimilivu,

Tuwavumilie wote.

Fadhili zina matokeo!

Huwasikizisha watu.

Wema wafanya tugawie

Wote shangwe ya Ufalme.

3. Imani hutupa ‘jasiri

Nguvu kwa kusudi letu.

Nao upole ni bora we!

Unapunguza matata.

Kujiweza kwahitajiwa,

Tusikakose kibali.

Kuzaa matunda huleta

Kibali, tuyadumishe.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki