Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 170
  • “Acheni Mungu Apatikane wa Kweli”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Acheni Mungu Apatikane wa Kweli”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Wafundishe Kusimama Imara
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wafundishe Kusimama Imara
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Maisha ya Painia
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 170

Wimbo 170

“Acheni Mungu Apatikane wa Kweli”

(Warumi 3:4)

1. Yehova Mungu wa kweli

Hasemi uwongo.

Tumutegemee yeye;

Hajikani kamwe.

Atakuwa ni wa kweli;

Watu ni wawongo.

Kweli yake itadumu

Milele, milele.

2. Mungu ’lipotuma Mwana

Afanye mapenzi,

Kasema Mungu ni kweli,

Kwa neno na tendo.

Penzi la Yehova ’kawa

Ni sheria yake.

Alifurahia mema

Kaongoza watu.

3. Wajapodhihaki Neno

Wapende uwongo,

Kama Yesu, na tumwache

Mungu awe kweli.

Kwetu wahubiri Neno

Lina uamuzi.

Tunatafuta ukweli,

Twalitii Neno.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki