Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • gl kur. 12-13
  • “Nchi Nzuri Na Kubwa”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Nchi Nzuri Na Kubwa”
  • ‘Ona Nchi Nzuri’
  • Habari Zinazolingana
  • Funzo Namba 1—Ziara Kwenye Bara Lililoahidiwa
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Masomo Yenye Kutumika Kutokana na Bara Lililoahidiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • “Ondoka, Zunguka Katika Nchi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
‘Ona Nchi Nzuri’
gl kur. 12-13

“Nchi Nzuri Na Kubwa”

KWENYE kichaka kilichokuwa kikiteketea, Mungu alimwambia Musa kwamba Yeye ‘angewakomboa [watu Wake] kutoka katika mkono wa Wamisri mpaka kwenye nchi nzuri na kubwa, nchi inayotiririka maziwa na asali.’—Kut 3:8.

Sehemu Mkato ya Nchi
Sura ya Nchi

Picha hizi mbili zilizochorwa kwa kompyuta zinaweza kukusaidia kuelewa maeneo mbalimbali ya asili na sura ya Nchi ya Ahadi. (Miinuko imekuzwa izidi vipimo vinavyoonyeshwa kwenye skeli.) Tazama grafu yenye rangi ili kuona miinuko mbalimbali ikilinganishwa na usawa wa bahari.

Chati hii inaonyesha njia moja ya kuorodhesha maeneo ya asili ya nchi hiyo. Unaweza kupata maelezo pamoja na Maandiko yanayotaja maeneo hayo katika kitabu “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa” (Funzo 1, ukurasa wa 270-278) na katika Insight on the Scriptures (Buku la 2, ukurasa wa 568-571).a

[Maelezo ya Chini]

a Vilivyochapishwa na Mashahidi wa Yehova.

[Chati/Ramani katika ukurasa wa 12, 13]

(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

Topography of the Land

Chati Ya Maeneo Ya Asili

A. Pwani ya Bahari Kuu

B. Nchi Tambarare Magharibi ya Yordani

1. Nchi Tambarare ya Asheri

2. Ukanda wa Pwani wa Dori

3. Viwanja vya Malisho vya Sharoni

4. Nchi Tambarare ya Ufilisti

5. Bonde la Kati la Mashariki-Magharibi

a. Nchi Tambarare ya Megido

b. Nchi Tambarare ya Chini ya Yezreeli

C. Milima Iliyo Magharibi ya Yordani

1. Vilima vya Galilaya

2. Vilima vya Karmeli

3. Vilima vya Samaria

4. Shefela (vilima vya chini)

5. Nchi Yenye Vilima ya Yuda

6. Nyika ya Yuda

7. Negebu

8. Nyika ya Parani

D. Araba (Bonde la Ufa)

1. Bonde la Hula

2. Eneo la Bahari ya Galilaya

3. Bonde la Yordani

4. Bahari ya Chumvi

5. Araba (kusini ya Bahari ya Chumvi)

E. Milima/Nyanda za Juu Mashariki ya Yordani

1. Bashani

2. Gileadi

3. Amoni na Moabu

4. Uwanda wa Mlima wa Edomu

F. Milima ya Lebanoni

[Ramani]

Ml. Hermon

Dani

Yerusalemu

Beersheba

Sehemu-mkato ya Nchi ya Ahadi

meta futi

2,500 7,500

2,000 6,000

1,500 4,500

1,000 3,000 Nchi Yenye Vilima Nchi ya

ya Yuda Moabu

500 1,500

Shefela Nyika ya

Nchi Tambarare Yuda

ya Ufilisti Bonde

0 0 (Usawa wa Bahari) la Ufa

Bahari ya Chumvi

-500 -1,500

[Picha katika ukurasa wa 13]

Ml. Hermoni (2,814 m; 9,232 ft)

[Picha katika ukurasa wa 13]

Ufuo wa Bahari ya Chumvi; sehemu yenye kina kirefu zaidi katika nchi kavu (yapata meta 400, futi 1,300 chini ya usawa wa bahari)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki