Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp2 kur. 12-13
  • Watu wa Jinsia Tofauti

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Watu wa Jinsia Tofauti
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Habari Zinazolingana
  • Ninaweza kuanza urafiki wa karibu na mtu wa jinsia tofauti lini?
    Amkeni!—2007
  • Je, Niko Tayari Kuanzisha Urafiki wa Kimapenzi?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Je, Sisi Ni Marafiki Tu—Au Ninavutiwa Naye Kimahaba?, Sehemu ya 2
    Amkeni!—2012
  • Vipi Ikiwa Wazazi Wangu Wanafikiri Mimi Ni Mchanga Mno Kuweka Miadi ya Kijinsia?
    Amkeni!—2001
Pata Habari Zaidi
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
yp2 kur. 12-13

SEHEMU YA 1

Watu wa Jinsia Tofauti

Unaona mvulana na msichana shuleni wakiwa wameshikana mikono huku wakitembea. Unahisi jinsi gani?

□ Sihisi chochote

□ Ninawaonea wivu kidogo

□ Ninawaonea wivu sana

Umeenda na marafiki kuona sinema kisha unagundua kwamba kila mtu, isipokuwa wewe, ana rafiki wa jinsia tofauti! Unahisi jinsi gani?

□ Sijali

□ Ninahisi upweke kidogo

□ Ninawaonea wivu sana

Rafiki yako mkubwa ameanza kupendezwa na mtu wa jinsia tofauti na sasa wameanzisha urafiki wa kimapenzi. Unahisi jinsi gani?

□ Ninafurahi

□ Ninawaonea wivu kidogo

□ Ninachukizwa

Mvulana na msichana, msichana na mvulana. Kila mahali unapotazama—shuleni, barabarani, madukani—kila mtu ana wake. Kila mara unapowaona, unatamani sana kuwa na wako. Lakini, je, uko tayari kuanzisha urafiki wa kimapenzi? Ikiwa uko tayari, unaweza kufanya nini ili umpate mtu ambaye atakufaa? Na ukimpata, mnaweza kufanya nini ili mbaki mkiwa safi kiadili mnapoendeleza urafiki wenu? Maswali hayo yatajibiwa katika Sura ya 1-5.

[Picha ya ukurasa mzima katika ukurasa wa 12, 13

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki