Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp2 kur. 280-281
  • Ukuzi Wa Kiroho

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukuzi Wa Kiroho
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Habari Zinazolingana
  • Daftari—Ibada
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
  • Daftari—Shule na Vijana Wenzako
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Daftari—Wazazi Wako
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Daftari—Ukuzi wa Kiroho
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
Pata Habari Zaidi
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
yp2 kur. 280-281

SEHEMU YA 9

Ukuzi Wa Kiroho

Ni jambo gani kati ya mambo yafuatayo unaloona kuwa gumu zaidi?

□ Kujifunza Biblia

□ Kusali kwa ukawaida kwa Yehova Mungu

□ Kuzungumza na wengine (hasa vijana wenzangu) kuhusu imani yangu

□ Kukubali viwango vya Biblia

Andika hapa chini mradi ambao ungependa kujiwekea kuhusu jambo unaloona kuwa gumu zaidi.

․․․․․

Sura ya 34-38 zitakusaidia kuona jinsi unavyoweza kuimarisha hali yako ya kiroho, kuishi kupatana na viwango vya Biblia, na kujiwekea miradi itakayofanya maisha yako yawe na mwelekeo na kusudi.

[Picha katika ukurasa wa 280, 281]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki