Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 14
  • Vitu Vyote Vyafanywa Kuwa Vipya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vitu Vyote Vyafanywa Kuwa Vipya
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Vitu Vyote Vyafanywa Kuwa Vipya
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Vitu Vyote Kuwa Vipya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 14

Wimbo Na. 14

Vitu Vyote Vyafanywa Kuwa Vipya

Makala Iliyochapishwa

(Ufunuo 21:1-5)

1. “Ishara za nyakati” zaonyesha:

Ufalme wa Mungu watawala.

Mbinguni vita vimepiganwa.

Mapenzi ya Mungu yatafanywa.

(KORASI)

Shangilieni kwa kuwa,

Mungu akaa na watu.

Maumivu hayatakuwapo,

Wala machozi, kifo, kilio;

Mungu asema: ‘Nafanya vipya.

Yote hayo ni kweli.’

2. Tazameni Yerusalemu Jipya,

Bi-arusi wa Mwana-Kondoo.

Amepambwa mawe ya thamani,

Na mwangaza wake ni Yehova.

(KORASI)

Shangilieni kwa kuwa,

Mungu akaa na watu.

Maumivu hayatakuwapo,

Wala machozi, kifo, kilio;

Mungu asema: ‘Nafanya vipya.

Yote hayo ni kweli.’

3. Jiji hilo kuwapendeza wote.

Malango kuwa wazi daima.

Mataifa kuenda nuruni.

Watumishi wa Mungu mwangaze.

(KORASI)

Shangilieni kwa kuwa,

Mungu akaa na watu.

Maumivu hayatakuwapo,

Wala machozi, kifo, kilio;

Mungu asema: ‘Nafanya vipya.

Yote hayo ni kweli.’

(Ona pia Mt. 16:3; Ufu. 12:7-9; 21:23-25.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki