Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 28
  • Wimbo Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wimbo Mpya
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mwimbie Yehova Sifa kwa Ushujaa!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele​—⁠Hatimaye!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 28

Wimbo Na. 28

Wimbo Mpya

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 98)

1. Mwimbie Mungu, wimbo mupya kwa furaha;

Tangaza matendo yote afanyayo.

Musifu yeye, Ndiye Mungu wa ushindi;

Anapohukumu, hutenda kwa haki.

(KORASI)

Imbeni!

Twimbe wimbo mupya.

Imbeni!

Yehova Mufalme.

2. Shangilieni, pigeni vigelegele;

Jina lake sifu, na kumutukuza.

Jiunge nasi, tumwimbie Bwana wetu,

Piga tarumbeta, kinubi na zeze.

(KORASI)

Imbeni!

Twimbe wimbo mupya.

Imbeni!

Yehova Mufalme.

3. Bahari navyo vilivyomo vimusifu,

Uumbaji wote umwimbie sifa.

Mito, vijito, vyote vipige makofi,

Milima, vilima, vimusifu Yeye.

(KORASI)

Imbeni!

Twimbe wimbo mupya.

Imbeni!

Yehova Mufalme.

(Ona pia Zab. 96:1; 149:1; Isa. 42:10.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki