Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 126
  • Kazi Yetu ya Upendo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kazi Yetu ya Upendo
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kazi Yetu ya Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    Mwimbieni Yehova
  • “Onjeni Mwone Kwamba Yehova Ni Mwema”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 126

Wimbo Na. 126

Kazi Yetu ya Upendo

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 127:1)

1. Siku ya siku zote;

Ee, Yehova twaja kwako.

Umetuonyesha fadhili,

Tuseme nini!

Umebariki kazi,

Kazi zetu za upendo.

Sasa tuna jengo,

Twaona baraka zako.

(KORASI)

Ee, Yehova, Ni pendeleo,

Kulijenga jumba hili.

Twataka kukutumikia sikuzote,

Na kukusifu kwa yote.

2. Twaona tabasamu,

Tumepata marafiki!

Hatutasahau, la hasha,

hadi milele!

Roho yako, Ee, Bwana,

Imekuwa juu yetu.

Wastahili sifa;

Jina lako litukuzwe!

(KORASI)

Ee, Yehova, Ni pendeleo,

Kulijenga jumba hili.

Twataka kukutumikia sikuzote,

Na kukusifu kwa yote.

(Ona pia Zab. 116:1; 147:1; Rom. 15:6.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki