Wimbo Na. 128
Tamasha ya Ulimwengu Huu Inabadilika
Makala Iliyochapishwa
1. Tunalemewa na dhambi,
Twahitaji ukombozi,
Mungu katuma Mwanaye—
Zawadi ya thamani.
(KORASI)
Ulimwengu
unabadilika,
Mungu anatuahidi
Baraka za milele.
2. Ulimwengu umeoza,
Na vyote vyaporomoka.
Utawala wake Mungu,
Uje utuokoe.
(KORASI)
Ulimwengu
unabadilika,
Mungu anatuahidi
Baraka za milele.
(Ona pia Zab. 115:15, 16; Rom. 5:15-17; 7:25; Ufu. 12:5.)