Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mb somo la 6
  • Somo la 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Somo la 6
  • Masomo Yangu ya Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Tumeumbwa kwa Njia ya Ajabu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Yehova Atujua Vema!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Somo la 5
    Masomo Yangu ya Biblia
  • Somo la 1
    Masomo Yangu ya Biblia
Pata Habari Zaidi
Masomo Yangu ya Biblia
mb somo la 6

Somo la 6

Makala Iliyochapishwa
Makala Iliyochapishwa

Zaburi 139:14

Tazama vidole vyako, na uchezeshe nyayo zako.

Gusa masikio yako na pua yako.

Tazama miguu yako inayokuwezesha kukimbia, kuruka na kuzunguka na kucheza michezo unayopenda!

Angalia kioo, unaona nini?

Kila kitu ambacho Yehova aliumba kinapendeza!

MAZOEZI

Msomee mtoto wako:

Zaburi 139:14

Mwombe mtoto wako akuonyeshe:

Vidole Vidole vya miguu

Masikio Mdomo

Pua

Tafuteni vitu hivi.

Baluni Paka

Muulize mtoto wako:

Ni nani alikuumba wewe na mimi?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki