Wimbo Na. 144
Ni Uzima Kwao
Makala Iliyochapishwa
Huu mwaka wa nia njema
twatangaza
Siku ya hasira ya Mungu
I karibu.
(KORASI)
Ni uzima, si kwao tu;
Ni uzima na kwetu.
Ni uzima wakitii,
Hivyo kote twatangaza;
Tangaza.
Ujumbe twautangaza kwa,
mataifa.
Wote twasihi wapatanishwe
na Mungu.
(KORASI)
Ni uzima, si kwao tu;
Ni uzima na kwetu.
Ni uzima wakitii,
Hivyo kote twatangaza;
Tangaza.
(DARAJA)
Ujumbe, wa haraka,
Wasikie na kuishi.
Muhimu, tuwafunze;
Wapate ukweli bure.
(KORASI)
Ni uzima, si kwao tu;
Ni uzima na kwetu.
Ni uzima wakitii,
Hivyo kote twatangaza;
Tangaza.
(Ona pia 2 Nya. 36:15; Isa. 61:2; Eze. 33:6; 2 The. 1:8.)