Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 138
  • Kichwa Chenye Mvi​—⁠Taji la Uzuri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kichwa Chenye Mvi​—⁠Taji la Uzuri
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri
    Mwimbieni Yehova
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    Mwimbieni Yehova
  • Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 138

WIMBO NA. 138

Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri

Makala Iliyochapishwa

(Methali 16:31)

  1. 1. Twawaona wazee,

    Pamoja nasi.

    Wanaovumilia;

    Waaminifu.

    Nguvu wamepoteza,

    Ama kufiwa.

    Baba, tunakuomba,

    Uwakumbuke

    (KORASI)

    Baba, ikumbuke,

    Imani yao.

    Uwategemeze;

    Uwapongeze!

  2. 2. Waadilifu wako

    Wanapendeza,

    Mbele zako Yehova.

    Nasi twajua,

    Zamani walikuwa,

    Wenye bidii,

    Walipotumikia,

    Kwa nguvu zote.

    (KORASI)

    Baba, ikumbuke,

    Imani yao.

    Uwategemeze;

    Uwapongeze!

(Ona pia Zab. 71:​9, 18; Met. 20:29; Mt. 25:21, 23; Luka 22:28; 1 Tim. 5:1.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki