Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CA-brpgm17 kur. 3-4
  • Sikiliza kwa Makini ili Upate Majibu ya Maswali Haya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sikiliza kwa Makini ili Upate Majibu ya Maswali Haya
  • Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2016-2017​—Lililo na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi
  • Habari Zinazolingana
  • Mpende Mungu Anayekupenda
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Azimia Kuendeleza ‘Upendo Wako wa Kindugu’!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Upendo wa Kikristo Wenye Msingi wa Upendo wa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Mambo Tunayojifunza Kutoka kwa “Mwanafunzi Ambaye Yesu Alimpenda”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2016-2017​—Lililo na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi
CA-brpgm17 kur. 3-4

Sikiliza kwa Makini ili Upate Majibu ya Maswali Haya:

  1. Amri iliyo kuu ni ipi, na kwa nini amri hiyo ni muhimu? (Mt. 22:37, 38; Marko 12:30)

  2. Tunaweza kufaulu jinsi gani kuepuka kuupenda ulimwengu? (1 Yoh. 2:15-17)

  3. Tunaweza kuwafundishaje wengine “kulipenda jina la Yehova”? (Isa. 56:6, 7)

  4. Tunaweza kuonyeshaje upendo wa kindugu usio na unafiki? (1 Yoh. 4:21)

  5. Wazazi wanawezaje kuwafundisha watoto wao kumpenda Yehova? (Kum. 6:4-9)

  6. Unaweza kuthibitishaje kwamba Yehova ni Rafiki yako wa karibu zaidi? (1 Yoh. 5:3)

  7. Tunapaswa kufanya nini ili tufanikiwe kudumisha au kurudisha upendo wetu kwa Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki