Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm17 kur. 6-7
  • Jumapili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumapili
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
  • Habari Zinazolingana
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumapili
    2021 Programu ya Kusanyiko la Eneo
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2020
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
CO-pgm17 kur. 6-7
Visual highlights of the Sunday morning program of the 2017 convention of Jehovah’s Witnesses.

Jumapili

“Yule ambaye atavumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa” ​—MATHAYO 24:13

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 121 na Sala

  • 3:40 MFULULIZO: Lazima “Tukimbie kwa Uvumilivu”

    • Kimbia Ili Ushinde! (1 Wakorintho 9:24)

    • Fanya Mazoezi kwa Bidii (1 Wakorintho 9:25-27)

    • Ondoa Mizigo Isiyo ya Lazima (Waebrania 12:1)

    • Iga Mifano Mizuri (Waebrania 12:2, 3)

    • Kula Chakula Chenye Lishe (Waebrania 5:12-14)

    • Kunywa Maji Mengi (Ufunuo 22:17)

    • Tii Sheria za Shindano (2 Timotheo 2:5)

    • Uwe na Uhakika Kwamba Utapata Tuzo (Waroma 15:13)

  • 5:10 Wimbo Na. 141 na Matangazo

  • 5:20 HOTUBA YA WATU WOTE: Usikate Tamaa Kamwe! (Isaya 48:17; Yeremia 29:11)

  • 5:50 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi

  • 6:20 Wimbo Na. 20 na Mapumziko

Visual highlights of the Sunday afternoon program of the 2017 convention of Jehovah’s Witnesses.

ALASIRI

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 57

  • 7:50 DRAMA: “Mkumbukeni Mke wa Loti”​—Sehemu ya 3 (Luka 17:28-33)

  • 8:20 Wimbo Na. 54 na Matangazo

  • 8:30 ‘Endelea Kuitarajia, Haitachelewa!’ (Habakuki 2:3)

  • 9:30 Wimbo Na. 129 na Sala ya Kumalizia

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki