SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 8A
Unabii Kumhusu Masihi—Mwerezi Mkubwa
Makala Iliyochapishwa
EZEKIELI 17:3-24
1. Nebukadneza ampeleka Yehoyakini Babiloni
2. Nebukadneza amweka Sedekia kuwa mtawala huko Yerusalemu
3. Sedekia amwasi Yehova na kugeukia Misri ili kupata msaada wa kijeshi
4. Yehova amweka Mwana wake juu ya Mlima Sayuni ulio mbinguni
5. Chini ya kivuli cha utawala wa Ufalme wa Yesu, wanadamu watiifu wataishi kwa usalama