Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 155
  • Shangwe Yetu ya Milele

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Shangwe Yetu ya Milele
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Shangwe​—Sifa Inayotoka kwa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Kumsifu Mfalme Mpya wa Dunia
    Mwimbieni Yehova
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Fanya Kweli Iwe Njia Yako ya Maisha
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 155

WIMBO NA. 155

Shangwe Yetu ya Milele

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 16:11)

  1. 1. Umepamba anga lote

    Kwa nyota zako.

    Umeumba kwa upendo

    nuru na giza.

    Bahari na ulimwengu,

    Kazi zako Ee Yehova

    Hukupa shangwe.

    (KORASI)

    Twafurahia ’umbaji,

    Na kazi ya kuhubiri,

    Paradiso ijayo.

    Upendo wako Yehova.

    Ni hazina ya milele.

    Wewe ni shangwe yetu

    Shangwe ya milele.

  2. 2. Tumepata kila kitu

    Kutoka Kwako—

    Tukichunguza ’umbaji

    Twafarijika.

    Umeweka ndani yetu—

    Tamaa ya umilele,

    Tuwe na shangwe.

    (KORASI)

    Twafurahia ’umbaji,

    Na kazi ya kuhubiri,

    Paradiso ijayo.

    Upendo wako Yehova.

    Ni hazina ya milele.

    Wewe ni shangwe yetu

    Shangwe ya milele.

    (DARAJA)

    Kwa dhabihu ya Mwana

    wako tuna shangwe.

    Alilipia fidia

    ili tuishi milele.

    (KORASI)

    Twafurahia ’umbaji,

    Na kazi ya kuhubiri,

    Paradiso ijayo.

    Upendo wako Yehova.

    Ni hazina ya milele.

    Wewe ni shangwe yetu

    Shangwe ya milele.

    (KORASI)

    Twafurahia ’umbaji,

    Na kazi ya kuhubiri,

    Paradiso ijayo.

    Upendo wako Yehova.

    Ni hazina ya milele.

    Wewe ni shangwe yetu

    Shangwe ya milele.

(Ona pia Zb. 37:4; 1 Kor. 15:28.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki