Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 8/1 uku. 31
  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 1,1988

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 1,1988
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Habari Zinazolingana
  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 1, 1988
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Mkutano wa Kila Mwaka—Oktoba 6, 1990
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Mkutano wa Kila Mwaka—Oktoba 6, 1990
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Mkutano wa Kila Mwaka—Oktoba 7, 1989
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 8/1 uku. 31

Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 1,1988

MKUTANO WA KILA MWAKA wa washiriki wa Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania utafanywa siku ya Oktoba 1, 1988, kwenye Jumba la Makusanyiko la Mashahidi wa Yehova, 2932 Kennedy Boulevard, Jersey City, New Jersey Mkutano wa utangulizi wa washiriki peke yao utafanywa saa 3:30 asubuhi, ukifuatwa na ule mkutano wa ujumla wa kila mwaka saa 4:00 asubuhi.

Washiriki wa Shirika hilo wanapaswa kuijulisha Afisi ya Mwandishi sasa juu ya badiliko lo lote lililotokea mwaka uliopita katika anwani zao za barua ili barua zile za kawaida za ujulisho na uwakilishaji ziweze kuwafikia muda mfupi baada ya Agosti 15.

Barua za uwakilishaji, watakazopelekewa washiriki pamoja na ujulisho wa mkutano wa kila mwaka, zinapasa kurudishwa ili ziifikie Afisi ya Mwandishi wa Sosaiti si baada ya Septemba 1. Inampasa kila mshiriki ajaze mambo yote yaliyo katika barua ya uwakilishaji na kuirudisha haraka, akitaarifu kama atakuwapo ama hatakuwapo mkutanoni yeye binafsi. Habari zenye kutajwa katika kila barua ya uwakilishaji zinapasa kusema jambo hilo waziwazi, kwa kuwa ndizo zitakazotegemewa katika kujua ni akina nani watakaokuwapo binafsi.

Inatarajiwa kwamba kipindi kizima, kutia ndani mkutano ule rasmi wa kishughuli na ripoti mbalimbali, kitamalizwa ifikapo saa 7:00 alasiri au muda mfupi baada ya hapo. Hakutakuwa na kipindi cha alasiri Kwa sababu nafasi ni ndogo, itawezekana kuingia kwa kuwa na tikiti tu. Hakutakuwa na mipango ya kuunganisha mahali pengine-pengine kwa kamba za simu ili kuusikia mkutano wa kila mwaka.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki