Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp20 Na. 2 uku. 16
  • Ufalme wa Mungu Ni Nini?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ufalme wa Mungu Ni Nini?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Ufalme Wa Mungu
    Amkeni!—2013
  • Ufalme wa Mungu Ni Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2020
  • Biblia Inasema ni Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2016
  • Mafundisho ya Yesu Kuhusu Ufalme wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2020
wp20 Na. 2 uku. 16

Ufalme Wa Mungu Ni Nini?

Mwanamume akisoma Biblia akiwa amekaa nje ya majengo ya ofisi za serikali.

Watu wengi husali Ufalme wa Mungu uje, lakini umewahi kujiuliza Ufalme wa Mungu ni nini na ukija utafanya nini?

CHUNGUZA MAMBO AMBAYO BIBLIA INASEMA:

  • Ufalme wa Mungu ni nini?

    Ni serikali ya mbinguni inayoongozwa na Yesu Kristo akiwa Mfalme.—Isaya 9:6, 7; Mathayo 5:3; Luka 1:31-33.

  • Ufalme wa Mungu utatimiza nini?

    Utaondoa mambo yote mabaya na kuleta amani ya kudumu kwa wanadamu duniani.—Danieli 2:44; Mathayo 6:10.

  • Kutafuta kwanza Ufalme kunamaanisha nini?

    Kunamaanisha kuunga mkono Ufalme wa Mungu na kutumaini kwamba Ufalme huo pekee utafanya hali duniani ziwe kama Mungu alivyokusudia. —Mathayo 6:33; 13:44.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki